Pata majibu na maelezo ya maswali yafuatayo na matibabu ya njia rahisi kutoka blog ya Afya Njema; Mafanikio Na Utajiri (www.mtsimbe.blogspot.com)
· Je Una Maumivi Ya Gouts (Viungo)?
· Je Una Maumivu Ya Uti Wa Mgongo?
· Je Una Tatizo la Kisukari?
· Je Una Upara?
· Je Ungependa Kuondoa Mabaka Mabaka Kwenye Ngozi?
· Je, Nywele Zako Zinanyonyoka?
· Je Una Fibroids Au Uvimbe Katika Kizazi?
· Je Una Matatizo Ya Kushika Mimba?
· Je Una Matatizo Na Siku Za Hedhi Au Maumivu?
· Jinsi Ya Kupunguza Unene
· Jinsi Ya Kuzuia Kumaliza Mapema
· Je Jogoo Wako Hapandi Mtungi?
· Je, Unapoteza Kumbukumbu?
· Je, Ungependa Kuondoa Michirizi Katika Ngozi?
· Jinsi Ya Kufanya Meno Yawe Meupe
· Jinsi Ya Kuondoa Makunyanzi Ya Ngozi
· Jinsi Ya Kufanya Matiti Yasimame (Yasilale)
· Jinsi Ya Kuondoa Nywele Usoni
· Je, Ungependa Kuwa Na Matiti Makubwa?
· Je Macho Yako Hayaoni Vizuri?
· Je, Una High Blood Pressure?
· Je Una Allergies Na Kitu Chochote?
· Jinsi Ya Kuondoa Vipele Vya Kunyoa Ndevu
· Jinsi Ya Kuondoa Chunusi Usoni
· Je Wewe Unakoroma Usiku Na Ungependa Uache?
Kwa maoni tuandikie: mtsimbe@gmail.com
hizi blog zinazoibuka kama unyoga jamani wamiliki jichungeni sana,kama hii blog tunayotangaziwa hapo juu,mbona picha na idea zake niza kukopi na kupesti?
ReplyDeletepicha za kwenye blog yenyewe zinaonyesha wazungu ndio wenye matatizo hayo,
nikweli mdau mwenzangu nakuunga na akili zangu zote na nakupa kumi hizi idea za kuunga na kukopi na kupesti waafrica hatuna matatizo haya na kama tunayo si sana lakini wazungu wana wivu ndo wanataka tuwe navyoo na kutu control akili zetu ndo maana kila leo tunawafuata wao kwa kila kitu tukitaka tusitake tukipenda tusipende bado tuna hatua ndefu sana ya kuwa na tanzania wenye kufikiri kwa kina kwa hivi saa nasikitika sana kusema bado na bado na tutayaona mengi tu mwaka huu
ReplyDeleteNakubaliana na tiba lakini vingine si ugonjwa bali ni hali ya kimaumbile kwa hiyo kujaribu kutafuta tiba ya hiyo mabadiliko ya kimaumbile sana sana kulingana na umri au urithi wa vinasaba ni kujitafutia matatizo makubwa mbele ya safari.
ReplyDeleteTafakari kabla ya kuchukua uamuzi
Chunga sana
blogger yako ipo powa sema kimombo kwa watu wengine ni tabu ndugu yangu cunajua wengi ni wa swahili
ReplyDelete