Home
Unlabelled
MIONDOKO YA KUMEREMETA KWENYE MNUSO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Shughuli nzima ya harusi ni kazi tosha kwa bibi harusi, ukizingatia pengine bi harusi ni muajiriwa inabidi aombe siku chache tu kazini, na hata hivyo siku za mwisho mwisho bi harusi hupata mawazo na kiwewe jinsi ya kufanikisha shughuli yenyewe,, plus jinsi atakavyoishi maisha mapya na mumewe na familia yake. sasa huo muda wa ku-rehearse kwa ajili ya harusi kwa namna hii kwa Tanzania upo kweli? Harusi za kitanzania bibi harusi anavaa,kutembea kuongea, kula, kunywa na kucheza elegantly mbele ya kadamnasi, hii ya hawa wenzetu tutaiweza kweli, ama tayari imeshaanza kuingia katika maharusi yetu siku hizi. Sijahudhuria harusi ya kitanzania for 5+ years hivi, kwa hiyo huenda niko under-informed.
ReplyDeleteI LOVE NIGER WEDDINGS JAMAN
ReplyDelete