Tizama jinsi utamaduni wetu wa ngoma na nyimbo za jadi zinavyoweza kufurahisha si sisi Watanzania tu bali hata wageni ughaibuni wanapandisha mizuka wakisikia na kutoa vitu asili vya kitamaduni kama kitu hii kilichowapelekesha wadau wa nje puta kweli. Hakika mkataa kwao mtumwa , kaa tutizame mdau Lyamba Kauzeni akifanya vitu vyake huko Croatia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2013

    pongezi na hongera saana!!!! kwa kuirusha vilivyo nchi yetu popote ulipo au walipo Watanzania. mdau hollad.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2013

    Kazi njema Kauzeni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...