John Sitta alonga na Vijimambo aeleza historia yake kwa ufupi na ni kitugani kilimshawishi kuja Marekani na Abdallah Kitwara amemjulia wapi kabla ya kufanya kazi Vizion One, Inc alishawahi kufanya kazi nyingine hapa Marekani? kama ndio ni wapi?. MSIKILIZE
Home
Unlabelled
MWANADIASPORA JOHN SITTA ALONGA NA VIJIMAMBO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Safi sana,hongereni sana vijana.
ReplyDeleteKuna mengi nimejifunza kwenu,ila kwa hili la watanzania kuendeleza uzembe kazini na kutegemea kulindani ni aibu.
Wito kwa watz tubadilike, tufanye kazi tuache uzembe.
Maendeleo hayaletwi kwa kuendekeza majungu.Wengi waliofanikiwa wamefanya kazi kwa juhudi na kujituma.
Yaani John Sittang msiajiri Watanzania ni wambea wanafiki na wataishia kupiga simu IRS FBI na pengine nilikuwa na biashara yangu nikaajiri Watanzania Yaani Mara oh biashara haijasajiliwa .Halafu partner wangu alikuwa mzungu Yaani hao Watanzania nilikuwa nawasaidia kuwaajiri wakawa wanaenda kunichongea kwa partner oh wazazi wangu mafisafi and all that Yaani matatizo juu ya matatizo .mungu ni mkubwa nikawafuza wote .Watanzania ni wakuwakalia mbali saana big mistake wakalie mbali hao
ReplyDeleteJamani, this is excellent! Finally tunaona na kushuhudia waTanzania wenzetu wakijitahidi kuongoza maisha yao. I am very proud of you guys, tuendelee hivi hivi maana WaTz tumekuwa nyuma sana ya waAfrica wengine kwa ujumla. Seriously, let's support each other, tusisaha mafanikio yako ni yangu pia. Ntawaombea mkamate all 50 states and beyond!
ReplyDelete