John Sitta alonga na Vijimambo aeleza historia yake kwa ufupi na ni kitugani kilimshawishi kuja Marekani na Abdallah Kitwara amemjulia wapi kabla ya kufanya kazi Vizion One, Inc alishawahi kufanya kazi nyingine hapa Marekani? kama ndio ni wapi?. MSIKILIZE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2013

    Safi sana,hongereni sana vijana.
    Kuna mengi nimejifunza kwenu,ila kwa hili la watanzania kuendeleza uzembe kazini na kutegemea kulindani ni aibu.

    Wito kwa watz tubadilike, tufanye kazi tuache uzembe.

    Maendeleo hayaletwi kwa kuendekeza majungu.Wengi waliofanikiwa wamefanya kazi kwa juhudi na kujituma.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2013

    Yaani John Sittang msiajiri Watanzania ni wambea wanafiki na wataishia kupiga simu IRS FBI na pengine nilikuwa na biashara yangu nikaajiri Watanzania Yaani Mara oh biashara haijasajiliwa .Halafu partner wangu alikuwa mzungu Yaani hao Watanzania nilikuwa nawasaidia kuwaajiri wakawa wanaenda kunichongea kwa partner oh wazazi wangu mafisafi and all that Yaani matatizo juu ya matatizo .mungu ni mkubwa nikawafuza wote .Watanzania ni wakuwakalia mbali saana big mistake wakalie mbali hao

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2013

    Jamani, this is excellent! Finally tunaona na kushuhudia waTanzania wenzetu wakijitahidi kuongoza maisha yao. I am very proud of you guys, tuendelee hivi hivi maana WaTz tumekuwa nyuma sana ya waAfrica wengine kwa ujumla. Seriously, let's support each other, tusisaha mafanikio yako ni yangu pia. Ntawaombea mkamate all 50 states and beyond!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...