Ujenzi wa Barabara ya Mbeya kuelekea Chunya , hili ni eneo Maarufu kona ya Mkoa

 
Barabara ya kiwango cha Rami kutoka Mbeya kuelekea Chunya eneo la Chalangwa

Ujenzi wa Barabara ukiendelea 
 Moja ya Gari likitoka Mbeya kuelekea Chunya


 Ujenzi ukiendelea kwa kasi katika eneo hilo.
 Mmoja wa wadau akiwa katika eneo ambalo Barabara hiyo inatengenezwa.
Picha na Mbeya Yetu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ZeroBrainJune 09, 2013

    Kaka sasa hiyo Landkruza halafu wakipata ajali watalalamika?
    Huo mzigo wote alioupandisha huko juu hajui kama anadistab SENTA OF GRAVIT au IKWILIBRIAM SENTA hivyo ni rahisi kuyumba na kupinduka jamani.
    Wenzetu hama wanatengeneza hivyo vyombo kwa mahesabu jamani. Kila kitu hapo kilipo kinakuwa kimepigiwa mahesabu yake jamani. Mweeh!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...