Jacqueline Ndanshau na best idiot wake Mwanaasha Ngenya wakifurahia baada ya kula nondozzzz Chuo cha Diplomasia Kurasini jijini Dar es salaam leo
  Kutoka kushoto ni Benedict Stambuli, David Joseph, Dr Mtengwa, Charles mtakwa na Paul Masanja
 Toka shoto ni Jacqueline Ndanshau, Ali Juma na Regan Kimario
 wadau David Joseph, Jacqueline Ndanshau na Paul Masanja wakila pozi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2013

    Best "idiot" ndio nini Ankal?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2013

    Neno Idiot kama lina maana ya kiingereza ni sifa and it means a foolish or stupid person..Ningependa kujua pia lina maana nyingine ya kimtaani au ilikua ni spelling errors.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 01, 2013

    Ni jina linatoka kwenye movie ya 3 idiots inaonyesha jinsi marafiki wanavyo kuwepo kwenye shida na raha

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 01, 2013

    Best Idiot ndio mchizi ake nini maana hizi lugha nazo

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 02, 2013

    is it best friend or best idiot? Yaani nyakati zingine sielewi wanaoandika. Kiswahili kinakosewa wakati mwingine nadhani wanaondika hawajui kiswahili wala kiingereza. Kiswahili kinakosewa na kiingereza kinakosewa sasa lugha gani mwandikaji anaijua jamani?

    Nakuunga mkono anonymous hapo juu


    Mr P

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...