Jacqueline Ndanshau na best idiot wake Mwanaasha Ngenya wakifurahia baada ya kula nondozzzz Chuo cha Diplomasia Kurasini jijini Dar es salaam leo

Kutoka kushoto ni Benedict Stambuli, David Joseph, Dr Mtengwa, Charles mtakwa na Paul Masanja
Toka shoto ni Jacqueline Ndanshau, Ali Juma na Regan Kimario
wadau David Joseph, Jacqueline Ndanshau na Paul Masanja wakila pozi
Best "idiot" ndio nini Ankal?
ReplyDeleteNeno Idiot kama lina maana ya kiingereza ni sifa and it means a foolish or stupid person..Ningependa kujua pia lina maana nyingine ya kimtaani au ilikua ni spelling errors.
ReplyDeleteNi jina linatoka kwenye movie ya 3 idiots inaonyesha jinsi marafiki wanavyo kuwepo kwenye shida na raha
ReplyDeleteBest Idiot ndio mchizi ake nini maana hizi lugha nazo
ReplyDeleteis it best friend or best idiot? Yaani nyakati zingine sielewi wanaoandika. Kiswahili kinakosewa wakati mwingine nadhani wanaondika hawajui kiswahili wala kiingereza. Kiswahili kinakosewa na kiingereza kinakosewa sasa lugha gani mwandikaji anaijua jamani?
ReplyDeleteNakuunga mkono anonymous hapo juu
Mr P