Bw. Samson Kamalamo anasikitika kutangaza kifo cha Baba yake Mzazi Bw. Samwel Bulimbe Kamalamo kilichotokea Julai 27, 2013 jijini Dar es Salaam. Mipango ya Mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Mikocheni B, Mtaa wa Daima jijini Dar es Salaam. 

Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki popote walipo. Maziko yanatarajiwa kufanyika katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Julai 31, 2013. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, 

 Amen.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2013

    pole sana kwa kufiwa na mzazi wako,nimesoma hilo jina la samsoni kamalamo nimestuka kidogo ,nakumbuka kusoma darasa moja na kamalamo sengerema sekondari,miaka ya 85-88 ,je ni wewe?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...