Home
Unlabelled
CCM YAKOMALIA SERIKALI MBILI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona sauti ya kideo hii ya CCM ina mwangwi na kufanya usikivu wa hoja za CCM ktk suala hili kuwa wa taaaabu.
ReplyDeleteMwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema juzi kuwa hali ya usalama ndani ya nchi ni shwariiii lakini Katibu Uenezi Taifa wa CCM anasema ana hofu ya usalama wa wa_Tanzania kutoka seriakli mbili kwenda tatu?
Mdau
Msikiliza hoja Pande zote.
Nape tembea uone. hapa US kuna polisi wa county na kuna state trooper. Sheria za majimbo na sheria kuu ambayo ni federal. Acha kutisha watu katiba lazima iwe ya wengi na sio CCM.
ReplyDeleteLess goverment is prosperity than too much goverment.
Nape tembea uone. hapa US kuna polisi wa county na kuna state trooper. Sheria za majimbo na sheria kuu ambayo ni federal. Acha kutisha watu katiba lazima iwe ya wengi na sio CCM.
ReplyDeleteLess goverment is prosperity than too much goverment.
Hii blog huwa siielewi elewi, mnaacha kutuwekea walau video za kongamano la amani, pale chuo kikuu ili tujue ukweli,mnatuwekea watu wepesi namna hii.
ReplyDeleteKwa nini tunatetea ujinga. Muungano wa kweli unaweza tu Kuwa either serikali moja AMA serikali tatu. Vinginevyo sio muungano , Pengine tutafute neno tofauti.
ReplyDeleteKila binadamu anajua kuwa TZ amani imetoweka. Hata mtoto mdogo analijua hili. Leo inakuwaje Mheshimiwa anasema kuna amani?
ReplyDeleteSiasa si nzuri kwa maisha ya watu. Siasa hupendeza wakati wa kampeini za uchaguzi.
Jamani rais amani haipo lazima itafutwe , ipatikane , ilindwe na kudumishwa.
Mfano mzuri wa serikali nyingi ni USA ambapo kila jimbo (nchi) lina kiongozi wake (governor) na wana Raisi mmoja wa nchi nzima. kila jimbo lina serikali yake na sheria zake. Huu utakuwa ni mfano mzuri kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao umeundwa na serikali ya Zanzibar na ile ya Tanganyika, ambayo itakuwa chini ya Raisi mmoja wa Muungano.
ReplyDelete