Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2013

    Mbona sauti ya kideo hii ya CCM ina mwangwi na kufanya usikivu wa hoja za CCM ktk suala hili kuwa wa taaaabu.

    Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema juzi kuwa hali ya usalama ndani ya nchi ni shwariiii lakini Katibu Uenezi Taifa wa CCM anasema ana hofu ya usalama wa wa_Tanzania kutoka seriakli mbili kwenda tatu?

    Mdau
    Msikiliza hoja Pande zote.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2013

    Nape tembea uone. hapa US kuna polisi wa county na kuna state trooper. Sheria za majimbo na sheria kuu ambayo ni federal. Acha kutisha watu katiba lazima iwe ya wengi na sio CCM.
    Less goverment is prosperity than too much goverment.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 29, 2013

    Nape tembea uone. hapa US kuna polisi wa county na kuna state trooper. Sheria za majimbo na sheria kuu ambayo ni federal. Acha kutisha watu katiba lazima iwe ya wengi na sio CCM.
    Less goverment is prosperity than too much goverment.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 29, 2013

    Hii blog huwa siielewi elewi, mnaacha kutuwekea walau video za kongamano la amani, pale chuo kikuu ili tujue ukweli,mnatuwekea watu wepesi namna hii.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 30, 2013

    Kwa nini tunatetea ujinga. Muungano wa kweli unaweza tu Kuwa either serikali moja AMA serikali tatu. Vinginevyo sio muungano , Pengine tutafute neno tofauti.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 30, 2013

    Kila binadamu anajua kuwa TZ amani imetoweka. Hata mtoto mdogo analijua hili. Leo inakuwaje Mheshimiwa anasema kuna amani?

    Siasa si nzuri kwa maisha ya watu. Siasa hupendeza wakati wa kampeini za uchaguzi.

    Jamani rais amani haipo lazima itafutwe , ipatikane , ilindwe na kudumishwa.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 30, 2013

    Mfano mzuri wa serikali nyingi ni USA ambapo kila jimbo (nchi) lina kiongozi wake (governor) na wana Raisi mmoja wa nchi nzima. kila jimbo lina serikali yake na sheria zake. Huu utakuwa ni mfano mzuri kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao umeundwa na serikali ya Zanzibar na ile ya Tanganyika, ambayo itakuwa chini ya Raisi mmoja wa Muungano.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...