Hili ni moja ya maeno ndani ya nchini yetu nzuri ya Tanzania,je waweza tambua ni wapi hapa??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2013

    Segera. Jipya
    Kituo cha mabasi na kipitisha.


    sesophy

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2013

    HAPA NI NJIA PANDA YA SEGERA KAMA WATOKEA TANGA PICHA ILIVYOPIGWA

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2013

    SEGERA NJIA PANDA

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2013

    Segera junction

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 03, 2013

    segera tanga

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 04, 2013

    Springfield, Massachusetts.

    ReplyDelete
  7. Al MusomaJuly 04, 2013

    ...it could be anywhere. Looks like the road to Nyanguge from Mwanza, down the MWATEX hill to me.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 04, 2013

    Hapo ni Mt. Vernon, New York.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 04, 2013

    Hapa ni vijiji vya uchagani! Chezeya kiliamanjaro weye! hahahaahhaaaaaaa!
    Pale pale Kiruwa vunjo palee! ila hakuna migomba hapa! wala mirarachichi! Inabidi ni 'prove equation'!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 04, 2013

    SEGERA NJIA PANDA. PICHA IMEPIGWA UKITOKEA TANGA MJINI. KIUTAWALA HAPO NI WILAYA YA HANDENI KILIPO KITUO. LAKINI MJI WA HALE AMBAKO NDO MPIGA PICHA AMETOKA NI WILAYA YA KOROGWE. TANGA RAHA SAFI SANA.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 04, 2013

    kilima nanihii masaki

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 04, 2013

    Hapo ni kabuku eneo ambalo watu hupiga mawe wind screen yapinduke wapore kama walivyomfanyia Sharo!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 04, 2013

    Kona ya kwenda Zanzibar

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 04, 2013

    Hapo ni jalalabad ukielekea peshawar pakistan.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 04, 2013

    HII NI NJIA PANDA YA KUTOKA BOMANGOMBE KATI YA ARUSHA NA MOSHI KWENDA UWANJA WA NDEGE WA KILIMANJARO KIA.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 04, 2013

    simpooo, manzese darajani

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 04, 2013

    jamani jamani hapo ni kigoma wilaya ya kasulu

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 04, 2013

    HII NI NJIA YA KWENDA NYUMBANI KWA MANDELA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...