Home
Unlabelled
chemsha bongo: waweza tambua ni wapi hapa??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Segera. Jipya
ReplyDeleteKituo cha mabasi na kipitisha.
sesophy
HAPA NI NJIA PANDA YA SEGERA KAMA WATOKEA TANGA PICHA ILIVYOPIGWA
ReplyDeleteSEGERA NJIA PANDA
ReplyDeleteSegera junction
ReplyDeletesegera tanga
ReplyDeleteSpringfield, Massachusetts.
ReplyDelete...it could be anywhere. Looks like the road to Nyanguge from Mwanza, down the MWATEX hill to me.
ReplyDeleteHapo ni Mt. Vernon, New York.
ReplyDeletekahama
ReplyDeleteHapa ni vijiji vya uchagani! Chezeya kiliamanjaro weye! hahahaahhaaaaaaa!
ReplyDeletePale pale Kiruwa vunjo palee! ila hakuna migomba hapa! wala mirarachichi! Inabidi ni 'prove equation'!
SEGERA NJIA PANDA. PICHA IMEPIGWA UKITOKEA TANGA MJINI. KIUTAWALA HAPO NI WILAYA YA HANDENI KILIPO KITUO. LAKINI MJI WA HALE AMBAKO NDO MPIGA PICHA AMETOKA NI WILAYA YA KOROGWE. TANGA RAHA SAFI SANA.
ReplyDeletekilima nanihii masaki
ReplyDeleteHapo ni kabuku eneo ambalo watu hupiga mawe wind screen yapinduke wapore kama walivyomfanyia Sharo!
ReplyDeleteKona ya kwenda Zanzibar
ReplyDeleteHapo ni jalalabad ukielekea peshawar pakistan.
ReplyDeleteHII NI NJIA PANDA YA KUTOKA BOMANGOMBE KATI YA ARUSHA NA MOSHI KWENDA UWANJA WA NDEGE WA KILIMANJARO KIA.
ReplyDeletesimpooo, manzese darajani
ReplyDeletejamani jamani hapo ni kigoma wilaya ya kasulu
ReplyDeleteHII NI NJIA YA KWENDA NYUMBANI KWA MANDELA.
ReplyDelete