Banda la NSSF linavyoonekana kwa nje.
Meneja Kiongozi Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume (wa pili kushoto) akiwa na baadhi ya maofisa waandamizi wa NSSF katika Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
 Ofisa Uendeshaji wa Masuala ya Kompyuta, Kassim Mwandoro akitoa ufafanuazi kuhusu huuma wanazotoa kwa watu waliotembelea banda la NSSF. 
Mapokezi
Mtoto, Suleiman Mohamed Salum (15), ambaye ni mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya Ufundi Mtwara akipata maelezo kutoka kwa Ofisa Matekelezo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Amina Mbaga.
Watu mbalimbali wakipata huduma.
Maelekezo.
Ofisa wa Wakala wa Bima wa NSSF, Issac Peter akitoa maelezo ya huduma wanazotoa.
Meneja Kiongozi Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume (kulia) akiwa na Ofisa Uhusiano Mwandamizi (NSSF), Theopista Muheta.
Mwanachama wa Orwinda Saccos, Rosemery Mulamula akionesha mali mpya walizoleta katika Monesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa. Saccos hiyo imeweza kushiriki maonesho hayo baada ya kupata mkopo kutoka NSSF.
Ofisa Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Salvatory Hinju (kulia), akifafanua jambo kwa mteja George Robert aliyetembelea banda la shirika hilo lililoko katika Viwanja vya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Meneja Kiongozi Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume, akitoa maelezo kwa Leonard Chacha Kitoka (kushoto) kuhusu miradi mbalimbali ya ujenzi inayofanywa na NSSF wakati mteja huyo alipotembelea banda la shirika hilo kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba. Katikati ni Mhandisi wa NSSF, John Ndazi.
Ofisa Matekelezo Sekta Binafsi wa NSSF, Ally Mkulemba akimuonesha mmiliki wa Nkoromo Blog, Bashir Nkoromo jinsi ya kujaza fomu za kujiunga Uanachama wa Hiari wa NSSF.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. wana nssf kuna rafiki yangu nimepoteza mawasiliano 2007 nilipowasiliana nae mara yamwisho alikua pale tazara mnaita mkoa wa temeke nadhani, anaitwa Fidelis Mbelwa ,email yangu issaisteven@gmail.com

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 01, 2013

    NSSF, MATANGAZO MENGI MUHIMU MNATOA KWENYE GAZETI, KWANINI MSIWEKE HATA KWENYE WEBSITE/NA BLOGS MBALIMBALI KAMA KWELI MNANIA NJEMA NA WANACHAMA WENU, MIKOPO YENU YA SACCOS NI NGUMU KUPATA, MATIBABU KWELI MNAJITAHIDI. MDAU MWANZA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...