Na Swahili TV
Mhe. Balozi Liberata Mulamula ametoa kauli ya kuwaunganisha watanzania wote, amesema kamwe hatoruhusu tofauti na makundi katika jamii za kitanzania. Ameyazungumza hayo katika papo kwa hapo ya Swahili TV.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2013

    Ujumbe wa Mama Balozi Mulamula ni mzito sana kuanzia kwa wafanyakazi wa ubalozi hapo DC mjiweke sawa, na wana diaspora. Tupendane tulete maendeleo nyumbani na tulitee Taifa letu Tanzania sifa nzuri

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2013

    Jitahidi alex utakuja kua mtangazaji mzuri sana baadae.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2013

    Nimependa maswali ya mtangazaji,muda mfupi lakini ameuliza maswali yanayo cover almost topic muhimu zote,hongera sana.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 23, 2013

    how on earth would you stop groups,wote hapa tulikuja hapa kwa sababu mbalimbali, good luck with that one

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...