Na Swahili TV
Mhe. Balozi Liberata Mulamula ametoa kauli ya kuwaunganisha watanzania wote, amesema kamwe hatoruhusu tofauti na makundi katika jamii za kitanzania. Ameyazungumza hayo katika papo kwa hapo ya Swahili TV.
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ujumbe wa Mama Balozi Mulamula ni mzito sana kuanzia kwa wafanyakazi wa ubalozi hapo DC mjiweke sawa, na wana diaspora. Tupendane tulete maendeleo nyumbani na tulitee Taifa letu Tanzania sifa nzuri
ReplyDeleteJitahidi alex utakuja kua mtangazaji mzuri sana baadae.
ReplyDeleteNimependa maswali ya mtangazaji,muda mfupi lakini ameuliza maswali yanayo cover almost topic muhimu zote,hongera sana.
ReplyDeletehow on earth would you stop groups,wote hapa tulikuja hapa kwa sababu mbalimbali, good luck with that one
ReplyDelete