Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akipokea ua mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sir Seretse Khama jijini Gaberone nchini Botswana kutoka kwa binti Jessica Kissasi, anayesoma darasa la pili, Baobab International School t arehe 29.7.2013.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Bwana Christopher Castle,Mkuu wa Idara ya HIV and Health Education kutoka Makao Makuu ya Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) yaliyoko Paris nchini Ufaransa wakati Mama Salma alipowasiri kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sir Seretse Khama huko Botswana tarehe 29.7.2013.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia wajumbe wa mkutano wa sikuk mbili wa “High Level Group” kutoka Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika unaofanyika katika hoteli ya Lansmore Masa Square jijini Gaberone nchini Botswana.
Mama Kikwete umependeza sanaaaa
ReplyDeleteIs she the next President?
ReplyDeleteNi kawaida yake kupendeza! Kwanza ni mfano wa kuigwa kwa mavazi ya heshima kama mama wa kiafya na Mtanzania. Hongera sana mama.
ReplyDeleteHuyu mama kuwa mfano wa kuigwa ni kazi yake maana yeye ni mwalimu. Ningeshangaa sana kama asingekuwa mfano wa kuigwa
ReplyDelete