Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akihutubia maelefu ya wananchi wa mkoa wa Kagera
waliofurika katika uwanja wa michezo wa Kaitaba kumsikiliza siku ya
mwisho ya ziara yake ya siku sita mkoani humo. PICHA NA IKULU
![]() |
Rais Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera. Anayemsimika ni kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya. |
![]() |
Omukama Kikwete akihutubia wananchi Missenyi |
Rais Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama
(Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera.
Anayemsimika ni kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya.
Hii imetulia...wahaya mie huwa nawapenda sana .....ni wakrimu kupitiliza..Lakini ukiwashika bila kunawa wanakurudi..
ReplyDeleteRais Kiwete wahaya wamekupenda sana. Mimi si mhaya lakini hawa jamaa huwa nawafagilia wawaaaaaa! wakiamua kufanya kitu wanafanya kweli.wala hawabahatishi.
"OLUBUGO" ni vazi la wahaya! limekuwa adimu sana siku hizi huko kagera. Hongera zake amekuwa mwanafamilia wa wahaya.
ReplyDeleteNI KWELI WAHAYA HAWABAHATISHI
ReplyDeleteKwa hiyo sasa ni Mhe./ Dr./ Omukama Jakaya M. Kikwete
ReplyDeletevipi jamani muleba huko mmepata katerero?
ReplyDelete