Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelefu ya wananchi wa mkoa wa Kagera waliofurika katika uwanja wa michezo wa Kaitaba kumsikiliza siku ya mwisho ya ziara yake ya siku sita mkoani humo. PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Kikwete baada ya kutawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera akiwa na  kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya.
Rais Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera. Anayemsimika ni kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya.
Omukama Kikwete akihutubia wananchi Missenyi
 Rais Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera. Anayemsimika ni kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 30, 2013

    Hii imetulia...wahaya mie huwa nawapenda sana .....ni wakrimu kupitiliza..Lakini ukiwashika bila kunawa wanakurudi..

    Rais Kiwete wahaya wamekupenda sana. Mimi si mhaya lakini hawa jamaa huwa nawafagilia wawaaaaaa! wakiamua kufanya kitu wanafanya kweli.wala hawabahatishi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 30, 2013

    "OLUBUGO" ni vazi la wahaya! limekuwa adimu sana siku hizi huko kagera. Hongera zake amekuwa mwanafamilia wa wahaya.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 30, 2013

    NI KWELI WAHAYA HAWABAHATISHI

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 31, 2013

    Kwa hiyo sasa ni Mhe./ Dr./ Omukama Jakaya M. Kikwete

    ReplyDelete
  5. vipi jamani muleba huko mmepata katerero?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...