Balozi mstaafu Charles Sanga (kulia), ambaye ni Mwenyekiti wa asasi ya vijana ya Tayoa akiwaongoza wafanyakazi wa asasi hiyo kufurahia tuzo tatu walizopata mjini Nairobi nchini Kenya wakati wa maonyesho ya matumizi ya teknolojia katika kusaidia maendeleo ya kiuchumi yaliyohusisha nchi za Tanzania, Sudani Kusini ,Uganda, Burundi, Rwanda, Kenya na Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ndewoyo'ShindoJuly 04, 2013

    Hongera sana TAYOA. Msibweteke. Kazi bado ni kubwa hasa katika nyanja ya kuwawezesha kiuchumi vijana wasichana kwa wavulana walio pembezoni. (Mateja, Mashoga, MaCD nk)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...