Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki
ya CRDB Dk.Charles Kimei,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na
ujumbe wake leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Ujumbe wa Benki ya CRDB,ukiongozwa
na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Dk.Charles Kimei,(wa pili kulia)
alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...