10:00 am - 5:00 pm Vazi la Kitanzania
7:00 pm - 3:00 am Vazi lolote lakini uwe umependeza

BURUDANI ZOTE NI KATI YA 10:00 AM - 5:00 PM
USIKU NI CHAKULA NA MUZIKI WA DISKO TU.

Chakula cha mchana Kuanzia kifungua kinywa na vinywaji  vitauzwa muda wote Dinner peke yake ndio itakayokua Free.

Tafadhali zingatia muda. Rais Mustahafu Ali Hassan Mwinyi ataingia ukumbini 10:30 am(saa 4:30 asubuhi)

KARIBU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2013

    Tupelekee basi anwani ya mahala pa tukio hili la kihistoria! Vijimambo 3 YRS OLD! Happy birthday ya kuzaliwa

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2013

    Anuani yao ni manzese midizini,ukifika uliza kwa mama muuza mkaa utafika.Maisha mepesiiiiii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...