Mdau Pastor Uwezo Mwakitalima ambaye pia ni
mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya Ualimu, akiwa na mai waifu wake Lillian baada
ya kumeremeta hivi karibuni katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam
na baadaye kukamilisha mambo kwa mnuso wa nguvu katika ukumbi wa Msimbazi
center. Picha na Michael Angulile
Home
Unlabelled
wadau pastor na lillian wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
mmependeza sana watumishi Mungu awaongoze katika maisha yenu yote.
ReplyDelete