Mkurugenzi wa Airtel huduma kwa wateja Bi Adriana Lyamba LEO amesema Airtel inafanya zoezi la kuingia mtaani jijini dar es salaam na wafanyakazi wao wote wa ofisi kuu jijini Dar es salaam kwa lengo ka kuhakikisha kuwa kila mteja anafahamu jinsi ya kufaidika na huduma zao zote ikiwemo ya Airtel Yatosha ambapo mteja hujiunga kwa kupiga *149*99# Kisha kuchagua kifurushi nafuu cha SIKU WIKI AU MWEZI ili kuongea kwa gharama nafuu kwenda mtandao wowote nchini Tanzania
 Meneja Uhusioano wa Airtel jackson mmbando akibadilishana mawazo na Maafisa mauzo wa Airtel  wa mkoa wa Dar es Salaam leo wakati wafanyakazi hao wakijipanga kuingia mtaaani kukutana na wateja wao na kuwaelekeza jinsi ya kujiunga na huduma ya Airtel Yatosha SHINDA NYUMBA 3
 Baadhi ya maofisa na viongozi wa Timu Airtel Yatosha  wakiendelea kupeana maelekezo jinsi ya kwenda kuingia sokoni kwenye kila mtaa jijini Dar es salaam ili kuwapa somo la AIRTEL YATOSHA shinda nyumba tatu
maofisa na viongozi wa Timu Airtel Yatosha  wakiendelea kupeana maelekezo jinsi ya kwend a kuingia sokoni kwenye kila mtaa jijini Dar es salaam ili kuwapa somo la AIRTEL YATOSHA shinda nyumba tatu
 Mikakati na mipango ikipangwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kazi ipo maana kwa mtindo huu wa kulipia line za simu, kila mtu atachagua kubakiwa na line moja. Sasa ni ipi? Off Course ni ile itakayokuwa na bei za chini zaidi. Tena nyingine tutazitupa kabisaa, maana ikiwa tu hewani, wanakata ka-1000. Au kama makampuni ya simu wanaona watapoteza wateja, basi watulipie hako ka-1000, ndo hatutatupa line zao. They need to work-out Cost-Benefit of this tax, sijui service fee.....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 18, 2013

    Duh ofisi nyingine dah mambo ya kuzunguka mtaani tena!!! wote sasa mnakuwa marketing managers. kazi kwelikweli

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 19, 2013

    Mama Tunu ! Enzi zile za Telular na ACD ahaha!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...