Mkurugenzi wa Airtel huduma kwa wateja Bi Adriana Lyamba LEO amesema
Airtel inafanya zoezi la kuingia mtaani jijini dar es salaam na
wafanyakazi wao wote wa ofisi kuu jijini Dar es salaam kwa lengo ka
kuhakikisha kuwa kila mteja anafahamu jinsi ya kufaidika na huduma zao
zote ikiwemo ya Airtel Yatosha ambapo mteja hujiunga kwa kupiga
*149*99# Kisha kuchagua kifurushi nafuu cha SIKU WIKI AU MWEZI ili
kuongea kwa gharama nafuu kwenda mtandao wowote nchini Tanzania
Meneja Uhusioano wa Airtel jackson mmbando akibadilishana mawazo na Maafisa mauzo wa Airtel wa mkoa wa Dar es Salaam leo wakati wafanyakazi hao wakijipanga kuingia mtaaani kukutana na wateja wao na kuwaelekeza jinsi ya kujiunga na huduma ya Airtel Yatosha SHINDA NYUMBA 3
Baadhi ya maofisa na viongozi wa Timu Airtel Yatosha wakiendelea kupeana maelekezo jinsi ya kwenda kuingia sokoni kwenye kila mtaa jijini Dar es salaam ili kuwapa somo la AIRTEL YATOSHA shinda nyumba tatu
maofisa na viongozi wa Timu Airtel Yatosha wakiendelea kupeana maelekezo jinsi ya kwend a kuingia sokoni kwenye kila mtaa jijini Dar es salaam ili kuwapa somo la AIRTEL YATOSHA shinda nyumba tatu
Mikakati na mipango ikipangwa.
Kazi ipo maana kwa mtindo huu wa kulipia line za simu, kila mtu atachagua kubakiwa na line moja. Sasa ni ipi? Off Course ni ile itakayokuwa na bei za chini zaidi. Tena nyingine tutazitupa kabisaa, maana ikiwa tu hewani, wanakata ka-1000. Au kama makampuni ya simu wanaona watapoteza wateja, basi watulipie hako ka-1000, ndo hatutatupa line zao. They need to work-out Cost-Benefit of this tax, sijui service fee.....
ReplyDeleteDuh ofisi nyingine dah mambo ya kuzunguka mtaani tena!!! wote sasa mnakuwa marketing managers. kazi kwelikweli
ReplyDeleteMama Tunu ! Enzi zile za Telular na ACD ahaha!
ReplyDelete