Wageni kutoka CDC/ATLANTA (waliopo katikati)
wakiwa katika Picha ya pamoja na Dkt. Zubeda Suleiman wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii (wa kwanza kushoto), wa pili kushoto ni Dkt. Ahmed Makata ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya HVIT Foundation inayoshughulika na Elimu ya Usalama Barabarani na uvaaji wa Kofia ngumu(wa tatu kulia) ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya HVIT Foundation, Bw. Alpherio Nchimbi.
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania Naibu Kamishna
wa Polisi Mohamed Mpinga akiwa katika picha ya pamoja na Dkt. Ann Dellinge( wa kwanza kulia) na Dkt. Erin Parker (wa pili kushoto) na mwenyeji wao Dkt. Zubeda Suleiman wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii walipomtembelea ofisini kwake katika ziara hiyo ya tarehe 25/07/2013.

Mkuu wa Utawala wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania Kamishna Msaidizi wa Polisi Johansen Kahatano (wa kwanza kulia akiwa na wageni kutoka CDC/ATLANTA walipomtembelea ofisini kwake.
Kulia na kushoto ndio wapi????..Hapa hueleweki.Picha ya kwanza Dkt.Zubeda Suleiman umeandika yupo"wa kwanza kushoto", Picha inayofuata umeandika Dkt.Ann Dellinge "wa kwanza kulia" lakini huyu yupo upande ule ule kama aliopo Dkt.Zubeda Suleiman katika picha ya kwanza..!!!.
ReplyDeleteTunapozungumzia upande..huwa tunazungumza kutokana na msemaji anapotazama..
mashaAllah
ReplyDelete