Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi (katikati) akizungumza jambo na na baadhi
ya viongozi wa madhehebu ya dini Mkoa wa Dar es Salaam walipomtembelea ofisini
kwake jijini Dar es Salaam leo. Kushoto (mbele)
ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima. Kulia ni Kamishna
wa Operesheni wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja.
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi (katikati) akimsikiliza kwa makini mmoja wa
viongozi wa dini (kulia) wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati walipokuwa
wakijadiliana masuala mbalimbali ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi akifafanua jambo katika mazungumzo hayo. Picha zote na Felix Mwagara wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.
KITENGO CHA MAWASILIANO
YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA
NDANI YA NCHI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...