ANY INFOS FOR NOW CALL 202-830-8904

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Huyu mtu mie nimempigi tena mara zaid ya tatu. Nimeacha msg, hapokei simu wala mpaka sasa hajacall back. if you are serious na hii kitu pls answer the calls!!

    ReplyDelete
  2. Mdau wa Kwanza,

    Tabia ni maradhi!

    Mtanzania hata akiwa Majuu haachi tabia mbaya ya usanii ktk simu yake ya mkononi, mara utampigia anaweka answeiring machine inajibu simu haipatikani!, mara utapiga muulize yupo wapi asalaleee yupo Kariakoo atakwambia nipo Ubungo!

    Ndio hayooo sasa Mbongo yupo State lakini usanii ktk simu hajaacha anapigiwa simu hapokei!

    ReplyDelete
  3. Hahaha Mdau wa kwanza!

    Ina wezekana tayari Kampeni chafu zimeshaanza ilhali kitu kinaadnaliwa na Matanzania ingawa ni Majuu, labda wameona utafunika ndio maana wanakutolea mbavuni kimtindo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...