Mitambo ya Vodacom salama
baada ya moto kudhibitiwa
Moto ulitokea kwenye betri za mitambo ya simu lakini mitambo yetu ipo salama. Wataalamu wa mtandao wanaendelea kurudisha umeme ili kurudisha huduma za simu.
baada ya moto kudhibitiwa
Moto ulitokea kwenye betri za mitambo ya simu lakini mitambo yetu ipo salama. Wataalamu wa mtandao wanaendelea kurudisha umeme ili kurudisha huduma za simu.
Tunawashukuru kwa uvumilivu wenu na kuwaomba radhi kwa usumbufu. Tutaendelea kuwapa taarifa za maendeleo ya ukarabati unavyoendelea. Juhudi zote zinafanywa kuhakikisha huduma zinarudi hewani mapema iwezekanavyo.



Pole kwa janga la moto. Lakini swali la msingi.. Hakuna DR site? Vodacom kampuni kubwa itakosa BCP kweli? Kwikwi....
ReplyDeleteKumjibu tu mdau wa juu hapo, ni kutokana na kuwa na BCP ndio maana huduma zimerudi ndani ya siku moja. Haimaanishi sasa wameendelea kutumia switch iliyoungua. delay lazima iwepo kwani lazima assesment sahihi ya athari iliyotokea ifanyike na ijulikane huduma sahihi zinarudishwa bila hasara kubwa zaidi.
ReplyDelete