Kamanda Ras Makunja akibeba boxi jukwaani
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band" a.k.a FFU a.k.a Watoto wa Mbwa
yenye makao yake nchini ujerumani.Muzimu huo wa muziki "Ngoma Africa band,utasherekea miaka 20 tangu ianzishwe mwaka 1993 na kiongozi wake mwanamuziki Ebrahim Makunja almaarufu kamanda Ras Makunja wa FFU UGHAIBUNI.
Bendi hiyo yenye wapenzi,washabiki na wadau lukuki katika kila kona duniani itasherekea miaka 20 ndani ya International African Festival Tubingen 2013,katika viwanja vya Fest-platz huko Tubingen,Ujerumani,ambapo wapenzi wa bendi hiyo
wapewa siku mbili kuanzia tarehe 9 na 10.08.2013 kupata burudani ya bendi hiyo.
Ngoma Africa Band a.k.a FFU imetajwa kuwa ndio bendi ya kiafrika hiliyoweza kudumu kwa muda mrefu katika medani ya muziki barani ulaya,na kuweza kujizolea wapenzi na washabiki katika kila kona.
Washabiki na wadau wa bendi hiyo ndio wanao jigamba kuwa wanamiliki na kuipa nguvu bendi hiyo na kiongozi wa bendi hiyo Ras Makunja na wanamuziki wa bendi ni watumishi tu wanao watumikia washabiki na wapenzi wa Ngoma Africa.
Tunaitakia kila la heri Ngoma Africa band tusikose kuwasikiliza FFU at
FFU aka watoto wa mbwa,hawana kuremba
ReplyDeleteukipita mbele ya mara wamekubwakia ghafla firungu
Kamanda mkuu,field marshal,mtawala wa
ReplyDeleteAnunnaki Empire,Baba mtukutu ras makunja,hongereni sana,miaka 20 ngwe kubwa katika muziki
Kuongoza bendi na ikadumu kwa miaka 20 ughaibuni ! big Up Ngoma Africa band
ReplyDeleteNgoma Africa band aka ffu au watoto wa mbwa wenye vituko vya kila aina,any way tunawapenda sana na walinzi wenu anunnaki aliens
ReplyDeleteffu aka watoto wa mbwa Ngoma Africa band mnasonga mbele kwa mbele
ReplyDeleteFFU aka watoto wa mmmmbwa...kila anayepia mbele yao ng'ata,bwakia pia virungu chini ya kamanda wao Ras makunja ,fiels-marshal,mfalme wa viumbe hatari Anunnaki Aliens,hongereni sana majeshi kazi yenu inatambulika kimataifa
ReplyDeleteffu wazee wa virungu aka wazee wa bongo tambarare nawakukubali.
ReplyDeletemdau
Mavunja,Kisiju Pwani
maafande wa ffu aka watoto wa mbwa
ReplyDeletehongereni sana kwa kudumu katika kubeba box la virungu kwa miaka 20
na kurusha kila kona,mnastahili tuzo za kila aina "Bongo Tambarare" na Supu ya Mawe zinakubalika katika jamii
ffu ngoma afrika watoto wa umbwa nchini ya kamanda ras makunja si utani sadaka ya virungu kwa kila mtu
ReplyDeletekama kawaida