Bwana michuzi nashukuru sana kwa kazi yako ya kutuelimisha na kutujulisha kwa mambo yanayotekea nyumbani nashukuru pia kwa kuweza kutuwekea hoja kubwa kama hii katika mtandao na kutupa uwanja wa kuweza kuchangia maoni yetu katika kupata katiba ambayo itakuwa ni ngao ya watanzania wa bara na visiwani,
Ningependa kwanza kwaombea wazee wetu walio tangulia kwenye haki waanzilishiwa taifa letu TANZANIA MZEE J.K.NYERERE NA MZEE ABEID AMANI KARUME, Wazee wetu hawa wakati wanaanzisha huu muungano walikiuwa na nia nzuri ukifatiria na hali ya siasa iliyo kuwepo wakati huo ,ni kweli kabisa upendo wa wazee hawa ulikuwa ni wa haina yake na mpaka walipofikia kuamua kitendo hicho walikuwa ni majasiri na mashujaa.
Ni kweli muungano umetuletea mambo mazuri mengi na kunamambo ambayo ukiangalia kwa kirefu au kwa upana unaona kuna makosa ambayo yanaweza kutatuliwa na watu wanaoipenda Tanzania (maana yake naposema hivi kuna vibaraka wanaotumiwa na watu kutoka nchi za nje ili kuvunja muungano huu hau kuigawanya nchi kwa makabira na kwa dini).



hoja yako labda wajinga wasiojua ukweli wataona umesema mambo ya maana.lakini sisi tunaojua ukweli wa mambo ndugu umezungumza pumbaaaa kabisa. au unajua ukweli ila unadanganya watu tu. kwanza watu gani wanataka muungano uvunjwe? mhh wazanzibari wenyewe hawataki muungano. pili nyerere sio muanzilishi wa nchi wanzilishi tunawajua. tatu mungano ni temporary wakati ulipoanzishwa hilo tunajua. na mengi ya kusema lakini sitaki kupoteza wakati kwani wenye blog hii sina uhakika kama watatoa maoni haya ukweli kwani sana hufanya biashara kwenye kazi yao
ReplyDeleteMtoa Maoni wa Kwanza:
ReplyDeleteWewe ni MMOJAWAPO WA WAJINGA WAPINGA MUUNGANO.
Inaeleweka ya kuwa ktk Siasa za kushabikia Uvunjaji wa MUUNGANO KUWA LOSSERS NA WINNERS:
1.LOSSERS:
Ni kundi la watu mabwege wasioelewa kitu wengi wao hawana Elimu ama hawana shughuli zinazoeleweka (AMA HAWANA MZUNGUKO WA KUINGIZA FEDHA HIVYO HUDHANI LABDA MUUNGANO NDIO UNAO SABABISHA WAO KUWA DUNI KITU AMBACHO SIYO KWELI, MBONA WENZAO WALIO NA HALI BORA HAWALALAMIKI?) huko walipo kama ni Visiwani, nje ya Tanzania ama wapo Bara(WATU HAWA HUWA NDIO MASHABIKI WA KUUVUNJA MUUNGANO)
2.WOINNERS:
Ni kundi la watu waliojiimarisha kihali kutokana na shughuli wanazofanya, mfano Wakazi wa Visiwani waliopo Bara wakiendesha shughili zao kama biashara za Mabasi ya Usafiri ama uuzaji wa bidhaa za chakula Sokoni Mfano Wapemba waliopo Soko la Vyakula la Tandika-Dar Es Salaam (WATU WA KUNDI HILI HUWEZI KUSIKIA WAKIZUNGUMZIA KUUVUNJA MUUNGANO)
Hivyo MBIVU NA MBICHI KUHUSU SIASA ZA KILA SIKU ZA KUUVUNJA MUUNGANO NI HIYO HAPO KTK NO.1 NA NO.2 HAPO JUU,,,KWISHA KAZI!
Muungano hauvunjiki ndio kwanza unazidi Kuimarika,,,asiyetaka Muungano anye hadharani ili Umma uone kweli amekusudia kuonyesha hisia zake!
ReplyDeleteHitajio la Muungano ni kama mtu anavyojisikia Kwenda haja kubwa ama ndogo, ni kuwa kamwe huwezi kujizuia kujisadidia isipokuwa unaweza kubana haja ukasogeza muda lakini ni WAZI NI LAZIMA UTAFIKA MUDA LITAKUSHUKA NA BILA KULAZIMISHWA WEWE MWENYWE ITABIDI UJISAIDIE !
Hapa shule inahitajika ya nguvu.wanaotaka kuvunja muungano wawapeleke shule.
ReplyDeleteVibaraka wanawatumia hawahawa kuuvuruga. Fanya hima sarikali watambueni hawa.Nyakati hizi wasiosoma wanatumika kufanya maasi , na ni wajasiri sana kufa na kupona. Wana usongo na na fikra duni walizo nazo pamoja na hali duni walio nayo.
mchangiaji wa mwisho ni pumba , unaonekana ufinyi wa fikra , ktk demokrasia ya kweli kila mtu anaruhusiwa kusema mawazo yake na kukiwa na tofauti basi hupigwa kura kujua nini wananchi wanataka, wazanzibari hatutaki muungano mnatulazimisha tu , leteni kura ya maoni ikiwa ni wakweli , ubabe muuwache tena hii karne 21 sasa
ReplyDeletewabongo ukweli unauma hatutaki muungano sasa mnalazimisha. au mnaogopa jina lenu la zamani tanganyika maana jina baya kweli. sasa kutotaka muungana ndio ufinyu wa akili sio ila ubusara wewe ndio finyu unalazisha ushirika na mali sio yako mwizi wahedi wee. ndio mimi mdau wa kwanza
ReplyDelete