Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. JK amezungumza maneno ya busara sana hasa kuhusu Rwanda. Kagame hataki mazungumzo na adui zake sababu atashindwa kuiba resources za Congo.

    ReplyDelete
  2. Safi sana Mh.JK
    Kwa mazingira haya Uelekeo wa kujenga jumuia ya Afrika Mashariki uko njia panda.

    Mungu ibariki Tanzania,
    Mungu ibariki Afrika Mashariki,
    MUNGU IBARIKI AFRIKA.

    ReplyDelete
  3. Nampongeza mh Raisi kwa maneno ya busara.Mwaka 2011 tulishuhudia ITV wananchi walivyokatwa mapanga wilayani Ngara na wahamiaji haramu wa Rwanda wanaoshirikiana na viongozi wa kijiji.Waziri wa Ulinzi alienda,Mbunge wa Ngara na viongozi wengine.Kuna hatua gani ilichukuliwa?Ningependa Mh Raisi kuacha marumbano na Mh P.kagame kwani ukifuatilia historia yake ni mtu mwenye hasira zaidi ya busara.Hilo halijatokea kwa Raisi wetu tu bali angalieni jinsi anavyowafanyia majibu ya jeuri Viongozi wengi tu wa Dunia na hata waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali vya kimataifa,BBC,CNN vyombo vya haki za binadamu nk kwa mfano anavyohoji utaalamu wa wataalamu wa haki za binadamu wanaoaminiwa na jumuia zote za kimataifa.hivyo ni hurka yake Mh JK wala asitumie nguvu nyingi kumjibu kwani kwa ubishi wake hawataelewana.Tunasikia viongozi wa Rwanada pia wakitumia ardhi yetu kulishia wanyama wao ningependa iwe fursa ya kukata hiyo chain kwani wakati utafika wataanza kujimegea taratibu.lazima tulinde mipaka yetu kwa garama yoyote.Nadhani bifu lake ni uhusika wako kudhibiti M23.mwisho mwenye dhambi hana raha hata siku moja.

    ReplyDelete
  4. Mhe Rais, Mungu akubariki. Unaendelea kuonyesha uadilifu na uugwana wa viongozi wa Tanzania. Huyo Kagame hana uugwana wowote.

    Kukutukana wewe na Nchi yetu ni kupoteza lengo - a distraction - kwani amekalia kuti kavu dhidi ya Wahutu wengi anaowakqndamiza na kuendelea kuwaua. Hilo halisemwi.

    Ni mkakati - strategy- ya dictators wengi kutafuta distractions ili kupata popula appeal nyumbani kwao kutuliza vuguvugu la Wahutu. Wahutu tunaokutana nao wanalia na kueleza hali ya majonzi ya jamii zao dhidi ya Watusi nchini Rwanda. Ukabila utayaua maendeleo mazuri ya nchi ya Rwanda.

    Kelele za Kagame ni kweli tusizipuuze. Yupo tayari kujaribu kuzua hata vita na nchi kubwa kama yetu ili mradi apate fursa ya kuendeleza utawala wake na ule wa Watutsi wachache nchini Rwanda. Yeye ni mfa maji tu. Wahutu hawatalala kwa kuwa tu Nchi yetu inatupiwa madongo ili aendeleze utawala wa kikabila nchini kwake.


    ReplyDelete
  5. Hawa watu wa Rwanda na Burundi mazungumzo si jadi yao,ndio maana wanaita 'ujinga'.Wanaamini katika vita ambayo pamoja na kuwagahrimu maisha ya watu wengi bado wanaitaka.kagame ana matatizo na huenda tuhuma za kuhusika na mauaji ya kimbari dhidi yake zina ukweli.Hata sasa watu wengi wahutu wanakimbilia Uganda.JK kwa kuwa anaelewa hawa watu wanaamini katika mapigano aachane nao,ingawa ni vizuri ameiambia dunia juu ya hilo.Ndio maana kuwa na hawa watu kwenye jumuia itakuwa mzigo mkubwa sana maana tuna tofauti katika imani ya mitazamo ya migogogro na namna ya kuitatua.

    ReplyDelete
  6. Huyu Kagame aanze kufungasha mabegi maana safari yake ya kuelekea The Heague imeiva,amechoka kuua watu anamgekia rais wetu,kisa kamshauri! Kichwa kikubwa utadhani kabeba jeneza!

    ReplyDelete
  7. Kagame Hana Dira wala mwelekeo mimi sisemi kua wanyarwanda wote ni wabaya rahsha wapo baathi tu ya wanyarwanda wachache wasio penda Amani ktk Nchi zao kama Kagame na watu wake TZ mna ukarimu wa kutetea Amani yenu,hivyo Amani mriyonayo inawakwanza wale walio zoea Kuua,Kubaka,kujeruhi na kuuba Nchi jirani kama Congo.Kagame shindwa kwa jina la Yesu.JK big UP.Mungu ibaraki Tanzania Mungu ibaraki Africa Amina.

    ReplyDelete
  8. MARA BAADA YA KUIKUBALI BURUNDI NA RWANDA BASI JUMUIYA TAYARI IMEKUFA, HIZI NCHI MBILI HAZINA BUSARA ZINAAMINI KWENYE VITA, LENGO LA JUMUIYA NA LENGO LA NCHI MBILI HIZO NI TOFAUTI

    ReplyDelete
  9. TENA KWA KUWA WAMEANZIA JUMUIYA YAO NDANI YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI, NADHANI NI WAKATI MUAFAKA WA KUWAACHA WAENDE! NIKIFIKIRIA MARA MBILI PIA NAANZA KUONA UMUHIMU WA KUWARUDISHE WAKIMBIZI ULIOFANYWA KARIBUNI, KWA KIASI KIKIBWA KAMBI ZA WAKMBIZI ZINAWEZA KUTUMIWA DHIDI YETU, NI WAKATI MUAFAKA KUANGALIA UKARIMU WETU USIJE UKATUPONZA, TUWASAIDIE KWA TAHADHARI KWELIKWELI !

    sesophy

    ReplyDelete

  10. Ndugu JK, kwa kweli mimi siyo shabiki wako kabisa,na sina ushabiki wa chama chochote kila cha siasa, nafanya shighuli zangu ughaibuni mwaka wa 25, nimesikiliza hotuba yako and the best part for me, was the last 7 minutes or so, kwa kweli nimeijumbuka force number yangu ya majeshi, na hawa wanyarwanda wakileta mbungi, nitagusisha biasahara zangu na kuja mstari wa mbele kuitetea nchi yangu, wasituketee upuuzi, tutawalimba mpaka watoke kamasi nyembamba,
    Well done Mr President,

    "KEEP YOU FRIENDS CLOSE AND YOUR EMENIES CLOSER"......

    Some believe it was Sun-tzu Chinese general & military strategist however there is no documented history of this. Was actually first said by "Michael Corleone" in The Godfather Part II

    ReplyDelete
  11. Mungu akubariki na akuongoze ktk maisha yako muheshimiwa Rais Kikwete, kiukweli na kimaono yangu na upeo wangu, na thabiti unatuongoza vyema...na maendeleo tunayaona, umeitangaza vyema nchi yetu na Leo kila nchi tajiri zinakuja kwetu kutaka kuboresha uchumi wetu na kutumia fursa yetu kwa faida kwa nchi Zote, hongera sana kwa Hilo. umefanya mengi kiasi kwamba siwezi kumaliza kuandika hapa, lkn Mimi nakupongeza kwa ushupavu, na bidii ktk kuleta maendeleo Tanzania. Hongera sana muheshimiwa Rais Kikwete.

    ReplyDelete
  12. maraisi wa nchi tajiri wanakuja tanzania,wanaacha misaada,rais wetu anaalikwa sana katika economic forums nyingi za duniani na kupata misaada mingi, hilo ndilo linalomuumiza kagame hana lolote.aje tu ajifunze kutoka kwetu,kuwa rais mwanafunzi sio dhambi na sio kejeli ni katika kutafuta mbinu bora za kupata misaada,am sure akimaliza kozi hata ya mwezi mmoja kutoka kwa membe,labda obama na rais wa china na thailand wataenda rwanda in their next visit in africa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...