Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bi. Jessica Mkuchu (kulia) akiongea kabla ya kuanza kwa mkutano wa Baraza Maalum la Katiba kwa Watu Wenye Ulemavu mjini Dodoma leo (Alhamisi, Agosti 15, 2013). Wengine ni Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Joseph Warioba (katikati) na Mjumbe mwingine Bw. Ally Saleh.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Maalum la Katiba kwa Watu Wenye Ulemavu wakijadili rasimu ya katiba mjini Dodoma leo (Alhamisi, Agosti 15, 2013).
Mkurugenzi wa Shirikisho la Walemavu Tanzania (SHIVYAWATA), Bw. Novatus Rukwago akiongea leo (Alhamisi, Agosti 15, 2013) katika mkutano wa Baraza Maalum la Katiba kwa Watu Wenye Ulemavu linalofanyika mjini Dodoma.
Mkalimani wa Lugha ya Alama Bw. Kudra Mnisi akiongea na wajumbe wa Baraza Maalum la Katiba kwa Watu Wenye Ulemavu leo (Alhamisi, Agosti 15, 2013) mjini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Walemavu Tanzania (SHIVYAWATA), Wakili Amon Anastaz akiongea katika Baraza Maalum la Katiba kwa Watu Wenye Ulemavu leo (Alhamisi, Agosti 15, 2013) mjini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...