Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja akitoa hotuba fupi kwenye Maadhimisho ya siku ya Wazazi(Parents Day) katika Shule ya Bwawani Sekondari ali inayomilikiwa na Jeshi la Magereza
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(kushoto) akikagua Maktaba Kuu ya Shule ya Bwawani Sekondari inayomilikiwa na Jeshi la Magereza kabla ya kuzungumza na Wazazi kwenye Maadhimisho ya 10 ya Siku ya Wazazi (kulia) ni Mkuu wa Shule hiyo, Kamishna Msaidizi wa Magereza, Hamza Rajabu.
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(kushoto) akiangalia Maonesho Maalum ya Kitaaluma kutoka kwa Wanafunzi wa Shule ya Bwawani Sekondari
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(kushoto) akiweka jiwe la Msingi la Darasa litakalotumiwa na Wanafunzi wa Kidato cha Tano wanaotarajiwa kujiunga na Shule ya Bwawani Sekondari katika Michepuo ya HGL na HGK kabla ya kuzungumza na Wazazi kwenye Maadhimisho ya 10 ya Siku ya Wazazi (kulia) ni Mkuu wa Shule hiyo, Kamishna Msaidizi wa Magereza, Hamza Rajabu.
Kikundi cha Sanaa cha Shule ya Bwawani Sekondari wakitumbuiza mbele ya Mgeni Rasmi, Kamishna wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(hayupo pichani) kwenye Maadhimisho ya 10 ya siku ya Wazazi
Wazazi waliohudhuria Maadhimisho ya 10 ya Siku ya Wazazi katika Shule ya Bwawani Sekondari wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Kamishna wa Magereza Nchini, John Casmir Minja


Habari ni nzuri jinsi Jeshi la Magereza linavyotilia makazo elimu, ila habari si kamilifu.
ReplyDeleteJe sekondari ya Bwawani ipo mkoa gani ktk wilaya gani nchini Tanzania?
Mwisho natoa pongezi kwa jeshi la Magereza kuwa mdau ktk sekta ya elimu.
Mdau
Globu ya Jamii
SECONDARY YA BWAWAWANI IPO WILAYA YA MBOZI MKOANI MBEYA.MDAU LONDON.
ReplyDeleteMdau wa London, hiyo sekondari ya BWAWAWANI unasema ipo wilaya ya Mbozi, Mkoani Mbeya.
ReplyDeleteJe katika taarifa hii ya Magereza sekondari ya BWAWANI ipo wilaya gani na mkoa gani?
Mdau
Globu ya Jamii