Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja akitoa hotuba fupi kwenye Maadhimisho ya siku ya Wazazi(Parents Day) katika Shule ya Bwawani Sekondari ali inayomilikiwa na Jeshi la Magereza
 Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(kushoto) akikagua Maktaba Kuu ya Shule ya Bwawani Sekondari  inayomilikiwa na Jeshi la Magereza kabla ya kuzungumza na Wazazi kwenye Maadhimisho ya 10 ya Siku ya Wazazi (kulia) ni Mkuu wa Shule hiyo, Kamishna Msaidizi wa Magereza, Hamza Rajabu.
  Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(kushoto) akiangalia Maonesho Maalum ya Kitaaluma kutoka kwa Wanafunzi wa Shule ya Bwawani Sekondari 
 Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(kushoto) akiweka jiwe la Msingi la Darasa litakalotumiwa na Wanafunzi wa Kidato cha Tano wanaotarajiwa kujiunga na  Shule ya Bwawani Sekondari katika Michepuo ya HGL na HGK kabla ya kuzungumza na Wazazi kwenye Maadhimisho ya 10 ya Siku ya Wazazi (kulia) ni Mkuu wa Shule hiyo, Kamishna Msaidizi wa        Magereza, Hamza Rajabu.
  Kikundi cha Sanaa cha Shule ya Bwawani Sekondari wakitumbuiza mbele ya Mgeni Rasmi, Kamishna wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(hayupo pichani)  kwenye Maadhimisho ya 10 ya siku ya Wazazi
 Wazazi waliohudhuria Maadhimisho ya 10 ya Siku ya Wazazi katika Shule ya Bwawani Sekondari wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Kamishna wa Magereza Nchini, John Casmir Minja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Habari ni nzuri jinsi Jeshi la Magereza linavyotilia makazo elimu, ila habari si kamilifu.

    Je sekondari ya Bwawani ipo mkoa gani ktk wilaya gani nchini Tanzania?

    Mwisho natoa pongezi kwa jeshi la Magereza kuwa mdau ktk sekta ya elimu.

    Mdau
    Globu ya Jamii

    ReplyDelete
  2. SECONDARY YA BWAWAWANI IPO WILAYA YA MBOZI MKOANI MBEYA.MDAU LONDON.

    ReplyDelete
  3. Mdau wa London, hiyo sekondari ya BWAWAWANI unasema ipo wilaya ya Mbozi, Mkoani Mbeya.

    Je katika taarifa hii ya Magereza sekondari ya BWAWANI ipo wilaya gani na mkoa gani?

    Mdau
    Globu ya Jamii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...