Nyarugusu wakishirikiana na Kruu nzima ya Kijiwe cha Ughaibuni wanawakaribisha watu wote kwenye kisomo cha kuwaombea ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki na chai ya pamoja siku ya Alhamisi Aug 8, 2013 baada ya Swala ya Eid.
Address ni
6200 Ager Road,
Hyattsville, MD 20782
Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio.
Kwa taarifa zaidi na maelekezo tafadhali wasiliana na Makeo 301 318 3419
Choteka 301 779 8799
KARIBU


Wenzetu mmeshauona mwezi!?
ReplyDeletesesophy
sesophy inasemekana leo Marekani na Canada wapo Ramadhani ya 30 hivyo iwe isiwe kesho kwao ni Eid El Fitri!
ReplyDelete