Nyarugusu wakishirikiana na Kruu nzima ya Kijiwe cha Ughaibuni wanawakaribisha watu wote kwenye kisomo cha kuwaombea ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki na chai ya pamoja siku ya Alhamisi Aug 8, 2013 baada ya Swala ya Eid. 

Address ni 
6200 Ager Road, 
Hyattsville, MD 20782

Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio.

Kwa taarifa zaidi na maelekezo tafadhali wasiliana na Makeo 301 318 3419
Choteka 301 779 8799

KARIBU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Wenzetu mmeshauona mwezi!?

    sesophy

    ReplyDelete
  2. sesophy inasemekana leo Marekani na Canada wapo Ramadhani ya 30 hivyo iwe isiwe kesho kwao ni Eid El Fitri!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...