Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Inaelekea kama kazi imesimama. Sioni grader wala wajenzi. Ila naona foleni ndefu sana - very chaotic. Nashukuru ndugu Michuzi kwa kutuweka katika picha ya maendeleo. Naomba uendelee kutupa updates ya maendeleo ya hii barabara maana it is very close to my heart. Nichanga pesa zangu nyingi some years back.

    ReplyDelete
  2. hiki kisiwa kikubwa cha kueka taka?

    ReplyDelete
  3. Kwa kweli nimefurahi kuona mabadiliko makubwa ya hiyo barabara. Kama mdau wa hapo juu alivyoandika nami nasisitiza kuwa uendelee kutuwekea updates za hii barabara! Mh ila hizo zebra crossing waendesha magari huwa hawazithamini hivyo wavuka barabara kuweni makini msiziamini 100% kama ilivyo kwa nchi za wenzetu ulaya nk. Mana bongo unaweza kugongwa kwenye zebra cha muhimu kuhakikisha gari ziko mbali ndio kuvuka kwenye hizo zebra.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...