Home
Unlabelled
maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta jijini Dar es salaam leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Inaelekea kama kazi imesimama. Sioni grader wala wajenzi. Ila naona foleni ndefu sana - very chaotic. Nashukuru ndugu Michuzi kwa kutuweka katika picha ya maendeleo. Naomba uendelee kutupa updates ya maendeleo ya hii barabara maana it is very close to my heart. Nichanga pesa zangu nyingi some years back.
ReplyDeletehiki kisiwa kikubwa cha kueka taka?
ReplyDeleteKwa kweli nimefurahi kuona mabadiliko makubwa ya hiyo barabara. Kama mdau wa hapo juu alivyoandika nami nasisitiza kuwa uendelee kutuwekea updates za hii barabara! Mh ila hizo zebra crossing waendesha magari huwa hawazithamini hivyo wavuka barabara kuweni makini msiziamini 100% kama ilivyo kwa nchi za wenzetu ulaya nk. Mana bongo unaweza kugongwa kwenye zebra cha muhimu kuhakikisha gari ziko mbali ndio kuvuka kwenye hizo zebra.
ReplyDelete