Familia ya Bwana Isaac Kalumuna wa Mbezi Beach Dar Es Salaam anatangaza kifo cha mkewe Annastazia Rwegasiraa Kalumuna (pichani) kilichotokea Ijumaa 23 Agosti 2013 katika Hospitali ya Massana, Mbezi. 

 Mazishi yatafanyika Alhamisi wiki hii, Agosti 29, mwaka huu, 2013 katika Kijiji cha Buganda, Kamachumu, Muleba, Mkoani Kagera. 

 Mwili utaagwa Leo Jumanne 27 Agosti nyumbani kwa marehemu, Art gallery Mbezi beach. Kwa tangazo hili, habari ziwafakie ndugu, jamaa na marafiki. 

 "Bwana ametoa Bwana ametwaa"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Amina.

    ReplyDelete
  2. Nimeshitushwa sana na kifo cha Rafiki yangu mpenzi Annastazia! nawapa pole ndugu, jamaa na marafiki MUNGU awatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu.
    bwana ametoa, bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.
    AMEN

    ReplyDelete
  3. Pole sana Brother Isaac. Mungu aipumzishe roho yake mahali pema na awape faraja katika kipindi hiki kigumu.

    Yasini Mfunda

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...