Mkurgenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche akiwahutubia wafanyakazi wa kampuni hiyo, makao makuu, Ilala, Dar es Salaam leo wakati wa hafla maalum ya wafanyakazi wa kampuni hiyo kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager inayozalishwa na TBL kwa klabu ya Barcelona ya Hispania.
Meneja Masoko wa SABMiller Africa, kampuni mama ya TBL, David Minja (kushoto) akijadiliana jambo na Meneja Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu (kulia) wakati wa hafla maalum ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager inayozalishwa na TBL kwa klabu ya Barcelona ya Hispania.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akifurahia wakati wa hafla maalum ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager inayozalishwa na TBL kwa klabu ya Barcelona ya Hispania.
Wafanyakazi wa TBL wakitoka makao makuu ya kampuni hiyo, Ilala, Dar es Salaam wakati wa maandamano ya kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager kwa klabu ya Barcelona ya Hispania.
Wasanii wa kundi cha Bombeso, wakicheza soka wakati wa hafla maalum ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager inayozalishwa na TBL kwa klabu ya Barcelona ya Hispania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mie hapa siajaelewa maana ya huu udhamini wa Barcelona. Ufafanuzi please.

    ReplyDelete
  2. Wewe mdau wa kwanza acha UVIVU wa KUSOMA. Soma kwa BIDII utaelewa. La sivyo kunywa maziwa ulale tu uendelee kulala usingizini. Wajanja wanaopenda KUSOMA hautakaa uwafikie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...