Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe akizungumza na wajumbe wapya wa
bodi ya mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi(MUWSA)wakati wa
hfla fui ya kuizindua bodi hiyo iliyofanyika katika ukumbu wa bodi wa
mamlaka hiyo.
Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi(MUWSA)
Cyprian Luhemeja akisoma taarifa mbele ya waziri wa maji Prof Jumanne
Maghembe wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ya mamlaka hiyo.
Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe akikabidhi vitendea kazi kwa
mmoja wa wajumbe wa bodi ya mamlaka ya maji safi na maji taka mjini
Moshi(MUWSA) Hajira Mbande ambaye pia ni meneja wa Azania Bank tawi la
Moshi.
Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe akikabidhi vitendea kazi kwa
mmoja wa wajumbe wa bodi ya mamlaka ya maji safi na maji taka mjini
Moshi(MUWSA) cyprian Luhemeja ambaye pia ni mkurugenzi wa MUWSA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...