Tanzania iliwakilishwa vyema kwenye tamasha la kila mwaka liitwalo FestAfrica lililofanyika mwishoni mwa juma huko Silver Spring Md na kuhudhuriwa na mamia ya wakazi.Pichani ni Mdau Nene ambaye ni Mtanzania aliyeongoza kamati ya maandalizi ya Tamasha hilo akijivunia kazi yake.
Maonyesho ya Mavazi ya Kiafrika yalitia fora kwenye Tamasha hilo.






Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com
HONGERENI, ILA KUNAMAVAZI MENGINE HAYANA MAADILI YA KIAFRIKA, NEXT TIME MJITAHIDI KUONESHA MAVAZI YA AFRIKA KABISA NA SI KUCHANGANYA CHANGANYA. SIXMUND J. BEGASHE
ReplyDeleteNgeza ngeza. Waafrika tuna nidhamu ya kujisitiri nyuchi zetu! Mengi ya Mavazi si yetu hayo.
ReplyDeleteHivi hicho kichupi cha kitenge kweli ni vazi kiafrika?
ReplyDelete