Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio Uingereza kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London Agosti 6,2013. Kushoto ni Mkewe Mama Tunu Pinda.
Baadhi ya Watanzania waishio London wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania nchini humo uliopo Londoni Agosti 6, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Dr.Abdallah Saleh na Mohamed na Mohame Ali Saleh ambao walikuwa ni miongoni mwa Watanzania waishio Uingereza waoshiriki katika mkutano ulioitishwa na Waziri Mkuu kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo London Agosti 6, 2013.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. sasa huu mkutano uliitishwa lini?
    mbona wengine hatukujua, ndo tunaona picha tuuu kwenye blog hii.

    ni hayo tu

    Mdau Oxford Circus.

    ReplyDelete
  2. mdau wa kwanza kwa sisi ambao hatujikombi kombi kwenye vyama vya siasa basi huwa hatualikwi, wao wanaalikana kwenye vikao vyao vya chama, it is utter stuoid as we are all Tanzanians.

    ReplyDelete
  3. wadau hapo juu mkutano ulitangazwa, hebu cheki michuzi humu ya two/three days ago utaona bado lipo tangazo

    ReplyDelete
  4. ano 1&2 poleni ndugu zetu kwa kutopata nafasi ya kuingia mitandao ya habari na kufahamu ugeni wa waziri mkuu labda swaumu
    iliwabana,hata sisi ndugu zenu wa scandinavien tulipata habari za
    kikao cha waziri mkuu huko London kupitia issa michuzi blogg.
    mikidadi-denmark

    ReplyDelete
  5. Wadau wa blog hii, hii ziara ilitangazwa.
    Labda hamkupita kibaraza hiki ila je Video hakuna walau tujue walichojadili? ama SIRI?

    ReplyDelete
  6. aaaaa elizaaaaaaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...