Home
Unlabelled
WIZARA YA MALIASILI NA UTALII IMEKANUSHA UVUMI KUWAWATEULE WA WAZIRI WAMESAINI POSHO MBILI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hata hivyo bado ni hatari! Tasisi unayoichunguza ndiyo inayokulipa posho? MMMMMMMMMHHHHHHH!!!!!!?????
ReplyDeleteKamati Y Maige ilikuwa na shughuli tofauti. Mbona haitajwi ni shughuli gani hiyo ili repoti yake iwekwe hadharani?
Sababu za wizara haijitoshelezi. Ninyi wizara hamjaeleza ni kwanini watu walilipwa pesa hadi jumamosi na jumapili na siku walizokuwa wamesafiri kibinafsi. Haitoshi kutuambia tuangalie hadidu za rejea, kwani hadidu za rejea zinakupa flows ya mambo yanayotakiwa kufanywa wala siyo kujilipa kwa rate ambayo ni kubwa na kujilipa hata ukiwa hufanyi kazi. Huo ni wizi hata kama waziri amebariki. Taifa letu linakwisha kwa wizi kama huu. Tunataka muombe msamaha....serikali kuiba ni aibu.
ReplyDelete