Mshambuliaji wa Yanga, Jerry Tegete, akijiandaa kupiga shuti golini baada ya kuwapiga chenga kipa na mlinzi wa SC Villa ya Uganda klatika mechi ya kirafiki ya kimataifa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.Yanga imeshinda bao 4-1  Picha na Richard Mwaikenda









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ushindi ni ushindi lakini tunaweza kusema timu(SC VILLA) ilikuwa imechoka na mchezo wa jana yake dhidi ya Simba.Kucheza michezo miwili ndani ya saa 24 si kitu cha kawaida katika mpira wa miguu.Timu inahitaji kupumzika,tusiangalie tu gharama za hoteli.

    David V

    ReplyDelete
  2. Mbona mazoezi wanacheza kila siku? Mechi za kirafiki hazina kuchoka kwani unaweza badili timu nzima ukitaka

    ReplyDelete
  3. Mnhhh leo Yanga mmeokota!

    Hivi mmecheza na Timu kwelikweli au mmecheza na Wavuvi wa samaki Ziwa Victoria Entebbe?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...