Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Prof. Mahalu akizungumza Mhadhiri wa Chuo hicho, Dk. Natujwa Mvungi (wa tatu kulia) pamoja na mwanafunzi wa chuo hicho Hapiness Katabazi (kulia) na wa pili kulia ni Mhadhiri wa Sheria chuoni hapo, Hawa Juma.
 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo (UB), Prof. Costa Mahalu (katikati), akiwaongoza wahadhiri na watumishi wa chuo hicho kukata keki wakati wa hafla fupi ya kutimiza miaka miwili tangu kuanzishwa kwake, iliyofanyika katika Makao Makuu ya chuo hicho yaliyopo Mikocheni kwa Warioba jijini Dar es Salaam jana.  Wa pili kulia ni Mkuu wa Kitivo cha Sheria cha Chuo hicho, Dk. Natujwa Mvungi.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha bagamoyo, Prof. Costa Mahalu (kulia) akiwa na baadhi ya waadhiri wa chuo hicho pamoja na mwanafunzi anayesoma katika chuo hicho, Happiness Katabazi (kushoto) waliokaa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hiki chuo ni kile cha sanaa au?

    ReplyDelete
  2. Heko mwanangu Happy kaza boots zaidi za kitabu! Matunda yake mazuri yaja! Afande,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...