Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Yeah....ila ungetwambia hapo lilipofika "dijitali" yaani hapo ilipo nyumba ni mji/kitongoji kipi hapa TZ, au??

    ReplyDelete
  2. "Gandhi with Satellite"(Alvin Tofler)

    ReplyDelete
  3. Kweli watanzania tunapenda mpira

    ReplyDelete
  4. Wakati ukakasi wa ving'amuzi vikisheheni wangine vijijini walishatumia madude haya zamani. Lakini kuna jambo la kusikitisha. Tangu mfumo rasmi wa ving'amuzi uanze ufanisi katika madishi haya umepungua na cha kusikitisha, ni katika maeneo ambayo mitambo ya ki analojia inaruhusiwa kufanya kazi.

    ReplyDelete
  5. Huu ni mtindio wa ubongo, uvivu wa kufikiri na kushindwa kuweka VIPAUMBELE VYA KIMAISHA!

    HIVI JAMANI UNAKAA NDANI YA BANDA LA UDONGO NA PAA LA MABATI YA MIFUNIKO YA MAPIPA YA KUUNGANISHA VIPANDE VIPANDE HALAFU UMETUNDIKA DISHI JUU YA PAA LA BANDA?

    ReplyDelete
  6. September 24, 2013, kuna ubaya gani?


    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...