Home
Unlabelled
Digitali haliongopi......lazidi kuenea kwa kasi kila mahali hapa nchini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yeah....ila ungetwambia hapo lilipofika "dijitali" yaani hapo ilipo nyumba ni mji/kitongoji kipi hapa TZ, au??
ReplyDelete"Gandhi with Satellite"(Alvin Tofler)
ReplyDeleteKweli watanzania tunapenda mpira
ReplyDeleteWakati ukakasi wa ving'amuzi vikisheheni wangine vijijini walishatumia madude haya zamani. Lakini kuna jambo la kusikitisha. Tangu mfumo rasmi wa ving'amuzi uanze ufanisi katika madishi haya umepungua na cha kusikitisha, ni katika maeneo ambayo mitambo ya ki analojia inaruhusiwa kufanya kazi.
ReplyDeleteHuu ni mtindio wa ubongo, uvivu wa kufikiri na kushindwa kuweka VIPAUMBELE VYA KIMAISHA!
ReplyDeleteHIVI JAMANI UNAKAA NDANI YA BANDA LA UDONGO NA PAA LA MABATI YA MIFUNIKO YA MAPIPA YA KUUNGANISHA VIPANDE VIPANDE HALAFU UMETUNDIKA DISHI JUU YA PAA LA BANDA?
September 24, 2013, kuna ubaya gani?
ReplyDelete