Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania kulia Mh. Benjamin Mkapa ambaye alikuwa mgeni rasmi akifungua rasmi Mpango mkakati wa awamu ya pili kwa mwaka 2013-2018 wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa katika halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Taasisi hiyo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,kushoto ni Mkuregenzi wa Taasisi hiyo Dkt.Ellen Senkoro.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania Mh. Benjamin Mkapa ambaye alikuwa mgeni rasmi akikabidhi cheti cha shukrani kwa Bi .Mera Mathew Mkurugenzi wa Maendeleo wa Shirika la Irish wakati wa ufunguzi wa Mpango mkakati wa awamu ya pili kwa mwaka 2013-2018 wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa wakati wa hafla ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Taasisi hiyo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi akipiga picha ya pamja na kamati ya maandalizi ya shughuli hii.
Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania Mh. Benjamin Mkapa ambaye alikuwa
mgeni rasmi akitoa risala ya ufunguzi wa awamu ya pili ya mpango
mkakati wa kuendeleza sekta ya Afya kwa wananchi wa Vijijini mwaka
2013-2018 katika halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na
Taasisi ya Benjamin William Mkapa iliyofanyika Serena Hoteli jijini Dar
es Salaam.
Mkurugenzi
wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa Dkt.Ellen
Senkoro akitoa historia fupi wakati wa ufunguzi wa mpango mkakati wa
Taasisi hiyo kwa mwaka 2013-2018 katika halfa ya chakula cha usiku
kilichoandaliwa na Taasisi hiyo na kuhudhuliwa wadau mbalimbali katika
Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...